RADIO IS UNDERCONSTRUCTION WE WILL BE BACK SOON. Hii ni chanel ya huduma ya The Word Is Alive Ministry (WAM-UWE MZIMA) na Apostle JOSHUA R. MSIGWA (SAUTI YA SIMBA). Kupitia channel hii ya radio online unaweza kupata huduma za kiroho kama vile. 1. Mafundisho ya neno la Mungu. 2. Shuhuda za matendo makuu ya Mungu za watu mbalimbali walio tendewa na Mungu, kupitia Mtume JR MSIGWA SAUTI YA SIMBA kwenye ibada na makongamano ya uponyaji. 3. Ibada za uponyaji na miujiza ya papo Kwa papo. 4. Ibada za live kutoka kanisani, Mikutanoni, Semina na n.k
ยังไม่มีรีวิวสำหรับ WAM-UWE MZIMA
ที่อยู่ | Mahali. Ndani ya Jiji la Mbeya kata ya Mwakibete, mtaa wa mwambene (ilomba) utaona jengo limeandikwa THE WORD IS ALIVE MINISTRY- UWE MZIMA |
โทรศัพท์: | +255 767 011 281 |
เว็บไซต์: | uwemzima.radio12345.com |
WhatsApp: | +255767011281 |
Mahali. Ndani ya Jiji la Mbeya kata ya Mwakibete, mtaa wa mwambene (ilomba) utaona jengo limeandikwa THE WORD IS ALIVE MINISTRY- UWE MZIMA