WAM-UWE MZIMA

Mbeya
Evaluare: 5 Voturi: 1

RADIO IS UNDERCONSTRUCTION WE WILL BE BACK SOON. Hii ni chanel ya huduma ya The Word Is Alive Ministry (WAM-UWE MZIMA) na Apostle JOSHUA R. MSIGWA (SAUTI YA SIMBA). Kupitia channel hii ya radio online unaweza kupata huduma za kiroho kama vile. 1. Mafundisho ya neno la Mungu. 2. Shuhuda za matendo makuu ya Mungu za watu mbalimbali walio tendewa na Mungu, kupitia Mtume JR MSIGWA SAUTI YA SIMBA kwenye ibada na makongamano ya uponyaji. 3. Ibada za uponyaji na miujiza ya papo Kwa papo. 4. Ibada za live kutoka kanisani, Mikutanoni, Semina na n.k

Kiswahili

Recenzii despre WAM-UWE MZIMA

Nu există recenzii pentru WAM-UWE MZIMA încă.

Contact radio

Adresă Mahali. Ndani ya Jiji la Mbeya kata ya Mwakibete, mtaa wa mwambene (ilomba) utaona jengo limeandikwa THE WORD IS ALIVE MINISTRY- UWE MZIMA
Telefon: +255 767 011 281
Site:
WhatsApp: +255767011281

Mahali. Ndani ya Jiji la Mbeya kata ya Mwakibete, mtaa wa mwambene (ilomba) utaona jengo limeandikwa THE WORD IS ALIVE MINISTRY- UWE MZIMA