Dhamira yetu ya msingi inabaki kutangaza kwa ulimwengu Injili ya Bwana Yesu Kristo na kuleta faraja na kutia moyo,kutangaza huduma za kikristo na kuinua muziki wa injili. Usikose kusikiliza idhaa kiswahili bbc kila siku pia idhaa ya dw swahili vile vile taarifa ya habari kutoka TBC TAIFA NA KBC TAIFA wasiliana nasi +255757560345whatsapp tuambie unatusikiliza ukiwa wapi ?MUNGU akubariki
Tzgospel Radio için henüz yorum yok.
Telefon: | +255757560345 |
Site: | tzgospel1.blogspot.com |
WhatsApp: | +255757560345 |
Facebook: | @tzgospel |
Twitter: | @tzgospel |
Instagram: | @tzgospel |